Prodigits |
! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.
Star mrimbeni
UHURU WA MTU KUTENDA JAMBO FULANI KTK KZ

utakuta kijana kaajiriwa na kampuni,serikalini,au mtu binafsi. anafanya kazi vema hata boss anafaham hilo. Lakini ajabu hakuna hata nafasi ya kupumua ktk shughuli ile mpaka mtu unajuta kwanini uliingia pale.na jambolingine kuhisi kuibiwa mali kituambacho si6 kweli .Hapo ndipo mambo hubadilika.Jamani kijana apewe uhuru wa wastani huku ukimpa mwenendo wa kimaisha ktk kaz.Vijana tuache udokozi ktk makampuni au kwa watu binafsi.

Group Founder: mrijomvu
Group Type: Public join
Members: 8
Category: Technology, Internet & Wireless > Programming Languages


Topics (2)
mrimbeni 2011
CADEMA CHAMA MAKINI KWA WATANZ (3)
CHADEMA CHAMA AMBACHO HAKINA UFISAD WOWOTE. Tofauti na chama tawala .chama cha chadema kina viongoz makini ambao wako mstari wa mbele kutetea maslah y
mrijomvu November 2010
UCHAGUZI MWAKA 2010 TANZANIA (1)
jamani hapa tanzanza panashangaza ktk upigaji wa kura .mgombea urais anapogombea kweli utamuo ni mwema sana lakini akishapata Urais Hakika wananchi mt

Photos (7)

more

Files (3)
0
jamaa kauza kuruka
1
kunamambo mengene inakubid ucheke 2 hata km huna hamu ya kucheka
2
ful


Polls (2)

Awesome Wallpapers

Download PRODIGITS Android APP