Prodigits |
! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.
* FRIENDLYCLUB > Topics
thecuter
Two guys wanaishi kwny ghetto moja, ally na omary, ally ndo mwenye chumba alimkaribisha rafiki yake omary, waliishi pamoja ila omary alikuwa na glfrnd wake,huyo msichana huwa anakuja ghetto na sumtym anawapikia chakula,kuosha vyombo na kurudi kwao, cku yacku akaja kumtafta omary, kwabahat mbaya omary alikuwa hayupo kaenda sokot kununua vi2 vyakupika, alivyokuja akamkuta ally naye anaandaa jiko huku akimsubiri mwenzake..!
Dada kafika thn akajibwaga kitandan huku ally akiwa kwny kochi, ghafla wazazi wabinti wakatokea nakundi lawa2,wakisema 2mechoka mwanao kila cku a2lii nyumbani, wakagonga nakumkuta mwanaye yupo juu yakitanda naally kwny kochi, likawa fumanizi nandoa yamkeka ikafuata, wazaz wabinti walikuwa hawamjui bf wa mtoto wao kwahy wakadhan ndo ally, ndoa yamkeka ikafungishwa baina ya ally namtoto wakike..! Omary karud wa2 washamaliza...! Je ungekuwa ndoww kuozeshwa mpenzi warafiki yako au rafiki wampenzi wako ikiwa wazaz hawakutaka kuelewa hl? Wazaz wanachokitambua ni ALLY na binti yao tu?
8 Replies 1118 Views 0 Bookmarks
topics posts

* FRIENDLYCLUB Forum
fav Bookmarks

* FRIENDLYCLUB

Phoneky Play Store

Download PRODIGITS Android APP