@alekii | ||
If u lyk mchongoano.just chongoa me! |
||
646
Replies
41518
Views
0 Bookmarks
|
Page #: 1/81 |
@alekii | 31 January 09 | |
Ati wewe ni mwerevu mpaka unaweza andika 1 2 3.__10 in capital letters! Funny?
|
||
@dmulandi | 31 January 09 | |
Ah!mpuzi!mwenyewe kaganda kama sima ya jana.una makunyanzi utafikiri paka mwizi.ah!miguu kama spoki!
|
||
@alekii | 31 January 09 | |
Ati gari yenu ni mzee mpaka ikipanda mlima inatoa veins! Ha ha ha!
|
||
@dmulandi | 31 January 09 | |
Ewe,walishwa wali na nyama nusu ratili na ungali tajiri wa mifupa na maskini wa .....una shingo kama bomba la ma.i!
|
||
@switpop | 31 January 09 | |
What is changaono it sounds like chinesse?
|
||
@alekii | 1 February 09 | |
Switpop mchongoano is anythng that someone is told n its funny.
|
||
@melix | 1 February 09 | |
Kichwa ndogo kama biscuit za Togo
|
||
@alekii | 1 February 09 | |
Ati una kichwa ndogo mpaka ukifikiria sana ina pata cracks!
|
||
E-AFRICANS2 Forum
Bookmarks
E-AFRICANS2