huyu ndiye msicha ambaye tulitoka naye mbali ktk maisha. Na matumaini ktk mwanadamu ni kufanikiwa nashukuru mungu nimekuja Mwanza ,chakushangaza siku ambayo sikutegemea. MUNGU ALINIKUTANISHA NAE MWANZ
1/7 |
mrijomvu | ||
jina lake ni BAHAT, ni MJALUO Kwao yeye first lad ni familia Bora yenye Watoto watano, nina hic 2takuja tufunge ndoa na ye. LAKINI HAYAYOTE NI KM NDOTO 2 HAIJULIKANI NINANI ANAKUJA KUISH na mimi .NAKUOMBA EE MUNGU UNIJALI. Afya njema furaha, amani ndani ya roho, utajiri kiac na ndugu wanipende.
|
||
912
Views
0
Favourites
0
Comments
9
KB
|
Comments
mrimbeni