Prodigits |
! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.
Star SwahilihiphopEA
Habari,mashairi na matingayote ya hip hop ya kiswahili

Hii ni maalum kwa watu wngu wa afrika mashariki na wote wanaozungumza kiswahili kujumuika humu pamoja kujadili ishu mbalimbali za muziki wa hiphop wa kiswahili,pamoja watu wngu!

Group Founder: krity
Group Type: Public join
Members: 6
Category: Music > Rap & HipHop


Topics (4)
krity August 2010
USIPIME UWEZO!!! (0)
Usipime uwezo, wa kuucheza huu mchezo,huna nyenzo huna vigezo kwenye hii mitelezo,kabla hujapima nishakuzima,nakonga mitima,kwa hizi flow ka mb** zime
shafftan August 2010
Tunapanda! (0)
Tupo juu watu wa afrika mashariki kwa hiphop,tanzania wakina prof.j,fid q,roma,na..da wapo kibao sana siwezi wataja wote,vipi huko kenya,uganda,burund
krity August 2010
Karibu kwenye michano! (1)
Karibu kwenye michano,ni kijani twende si nyekundu wala njano,onyesha mshikamano,ka santuri na sindano,hiphop halisi wala si mfano,hizi si hadithi wal
preddie August 2010
(reading) Mkusanyiko wa mashai (1)
ushairi ni muhimu sana hasa tukizingatia matumizi ya mashairi, umuhimu ambayo tunaweza tu kuukumbatia tukizikusanya

Polls (1)


Download PRODIGITS Android APP