
![]() |
@rogasian | |
kwa watanzania wenzangu wooote kokote pale....kuna Mtanzania mwenzetu anamtandao wake ambao unafundisha mambo mengi muhimu ya compta kwa lugha ya kitanzania, habr za kuactivate windows, antiviruses, na pia wanatengeneza computer kwa bei ya chini ya kibongo kiswazi, na cmpta yako inakuwa poa xana.....tembelea hapa kujua zaidi www.complexsystem.net mambo mengne mengi yapoo...twenzetu ukaone mtanZania mwenzetu anavyofanya mambo |
||
1
Replies
795
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@nevoly1510 | 19 June 14 |
Kweli ndugu
|
||


