
![]() |
@agrey87 | |
Je inawezekana kumpenda mtu bila kuonana naye? Kwa kuchat naye au kuongea naye kwenye simu na kuwa wapenzi? Unasemaje? |
||
5
Replies
2218
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@eliufoo | 22 August 08 |
Inawezekana ilamapenzi ya kiivyocyo mazuri
|
||
![]() |
@jojumi | 18 August 10 |
hamna ki2 kama iko buddy...uko kudanganyana 2...u knw wat,wajuzi wa mambo wanakwambia''first eyez admire,then heart desire...upo apo mpenzi.??
|
||
![]() |
@catlinb | 25 February 11 |
yawezekana bila ubishi......
|
||
![]() |
@kkaayy44 | 17 February 12 |
Inawezekana au kutowezekana ila cku mtakapoonana ndio ukweli unapokuwa kichwani
|
||
![]() |
@sizakom | 6 March 12 |
Inawezekana,coz lafudh na saut au jina pia,jina laweza kumvutia m2.
|
||


