
![]() |
@dmichael | |
binafsi naona liko poa itasaidia kupunguza ma2miz mabaya ya cm.wapo wasemao litapngza uhuru wa masiliano.we umelipokeaje |
||
2
Replies
1733
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@khasamo | 27 May 10 |
mimi naona liko mzuka na litawafanya watumiaji wa simu wawe makini zaidi katika matumizi la si hivyo itakuwa balaa au vipi broo.
|
||
![]() |
@colombia | 26 December 11 |
Usajili wa simu za viganjani bado hauna mantiki na haujatiliwa mkazo kisheria. Nashangaa kitambulisho cha mtu mmoja kinaruhusiwa kusajili line 3 za mtandao mmoja kwa No tofauti, sasa hapo cdhani kama kuna udhibiti kwa kuwa m2miaji atakuwa mtu mwingine kabisa acyesajiliwa kwa maana ya kitambulisho batili. BADO TUNA KAZI KUBWA.
|
||


