
![]() |
@fatmaswt | |
kweli inawezekana kama wenyendowa wakiwa waaminifu na wapenzi piya kuwa waaminifu katika mahusiano yao tunaweza kuushinda ukimwi,tanzania bila ukimwi inawezekana |
||
4
Replies
1208
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@ashraphy | 31 December 10 |
Sawa Fety ila nafikiri kwa mtazamo wa kawaida UAMINIFU ndo jambo muhimu litakalo fanikisha hili.
|
||
![]() |
@chrissp | 17 April 11 |
NIKWELI TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA.KAMA KILA MMOJA WAPO AKIWA MWAMINIFU KWA MWENZIE NA HATA KAMA HUNA MWENZI UKIWA
|
||
![]() |
@sisili | 26 December 11 |
Haki inayotuangamiza!nchi za kiarabu wananyimwa haki ya kufanya ngono holela lakini wanapata haki ya kuishi kwa matumaini,ole wetu tunaodai haki ya kuwa na huru wa kufanya ngono tutakavyo!hatuwezi kupata haki iliyo kuu ya kuishi kwa matumaini!tanzania bila ukimwi itawezekana kwa kumuogopa mungu!
|
||
![]() |
@ashraphy | 8 May 12 |
Chukulia upo msituni mara simba mkubwa anakunyatia mkononi unasilaha hautajiami bali utamuomba MUNGU?.Tumia CONDOM!!
|
||


