
![]() |
@classyk5 | |
hebu tuambiane jaman |
||
2
Replies
1309
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@sisili | 21 January 12 |
Dini sio kikwazo cha mapenzi!dini ni mfumo maalum wa maisha ya mwanadam,ambapo mwanadam amewekewa mpango maalum wa maisha ya mapenzi!au umekusudia kikwazo kipi fafanua!
|
||
![]() |
@ashraphy | 8 May 12 |
Dini ni IMANI.Imani ni utaratibu au mwongozo wa kiroho.Mapenz ni kupenda...SI KIKWAZO bali DINI ni kiwakwazo cha NDOA.
|
||


