
![]() |
@uswazitz | |
Wa TZ. ni kweli tumeshidwa kuitokomeza rushwa? |
||
5
Replies
1610
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@krity | 16 August 10 |
Rushwa kla mahali si tz tu,ila juhudi zifanywazo zaweza punguza tatizo ila kulimaliza ni ndoto,kwa kuwa ndo njia ya kupata utajiri,siasa rushwa,biashara rushwa,pengine ht mapenzi du hii kali!
|
||
![]() |
@ashraphy | 25 October 10 |
mi,nakusapoti kwa 100%
|
||
![]() |
@fatmaswt | 21 December 10 |
kusema ukweli rushwa haitaweza kuisha kama wapokeaji rushwa hawata komeshwa piya rushwa niadui wajamii
|
||
![]() |
@sisili | 26 December 11 |
Rushwa imekita mizizi ktk jamii,hii yote na kwa sababu watu hawana hofu ya mungu!hakuna dini inaruhusu rushwa,lakini wanaokula rushwa wanadini zao!nani sasap atatuongaza ikiwa dini imegeuzwa kuwa ni miradi ya watu?ewe m,mungu tusaidie!
|
||
![]() |
@ashraphy | 8 May 12 |
Unafaham kwann hatuwez tokomez RUSHWA? Si kama wote 2nalengo 1,WOTE 2naowapa fursa kila 1 anadhumun lake.SABABU PEKEE.
|
||


