
![]() |
@alekii | |
If u lyk mchongoano.just chongoa me! |
||
646
Replies
42092
Views
0 Bookmarks
|
Page #: 1/33 |
![]() |
@alekii | 31 January 09 |
Ati wewe ni mwerevu mpaka unaweza andika 1 2 3.__10 in capital letters! Funny?
|
||
![]() |
@dmulandi | 31 January 09 |
Ah!mpuzi!mwenyewe kaganda kama sima ya jana.una makunyanzi utafikiri paka mwizi.ah!miguu kama spoki!
|
||
![]() |
@alekii | 31 January 09 |
Ati gari yenu ni mzee mpaka ikipanda mlima inatoa veins! Ha ha ha!
|
||
![]() |
@dmulandi | 31 January 09 |
Ewe,walishwa wali na nyama nusu ratili na ungali tajiri wa mifupa na maskini wa .....una shingo kama bomba la ma.i!
|
||
![]() |
@switpop | 31 January 09 |
What is changaono it sounds like chinesse?
|
||
![]() |
@alekii | 1 February 09 |
Switpop mchongoano is anythng that someone is told n its funny.
|
||
![]() |
@melix | 1 February 09 |
Kichwa ndogo kama biscuit za Togo
|
||
![]() |
@alekii | 1 February 09 |
Ati una kichwa ndogo mpaka ukifikiria sana ina pata cracks!
|
||
![]() |
@jeanjoyc | 3 February 09 |
Ur cracking ma ribs guys i cnt stop laughing
|
||
![]() |
@alekii | 3 February 09 |
Joyc hi ni kionjo 2...ati wewe una kichwa kubwa mpaka ndoto zako zinakuanga Five in one kama movie.ha ha ha ha!
|
||
![]() |
@njagua17 | 3 February 09 |
phone yako ni mzee hadi fonbook yake imeraruka
|
||
![]() |
@njagua17 | 3 February 09 |
first tym yako kucheki sausage kwa hoteli ulianzakusema-ona kitu kama yangu (pointin ua....)
|
||
![]() |
@alekii | 5 February 09 |
Ati first time yako kupewa chewing gum uliuliza kama iko na mbegu ndani!
|
||
![]() |
@birdboi | 8 February 09 |
ati ulienda kwa duka ku buy ball gum uka pewa ya green,uli rudisha uka sema nipe enye imeiva...:D
|
||
![]() |
@birdboi | 8 February 09 |
ati first time yako kupewa coca cola ulidhani ni maji imeungua
|
||
![]() |
@kaptrina | 8 February 09 |
Ati kwenu mmesota hadi nyinyi hukimbiza garbage truck ya kanjo mkiwa na shoppin list
|
||
![]() |
@kaptrina | 8 February 09 |
If ugly ws a stone,u'd b d gr8 wall of china
|
||
![]() |
@alekii | 8 February 09 |
Ati kaptrina hufanya kazi kwa kampuni ya kusiaga unga ya ugali mpaka akioga na maji moto kunanuka ugali..
|
||
![]() |
@alekii | 8 February 09 |
Birdboi Ati uko na marassa biggy mpaka ukipiga kona zinaingia kwa mfuko!
|
||
![]() |
@alekii | 10 February 09 |
Jeanjoy if ur ribs r cracking.then chukua suppa glue ushikanishe.waaah! I can c all of u have bad hand writtings..pliz improve ur hand writting@all
|
||


