
![]() |
@2smoky | |
kwani huku watu hawaongeangi? ama ni venye nyi ni maboy, too cool to talk, eh? ..I dare you guyz 2 post a comment.. c'mon.. you knw you wnt to.. |
||
11
Replies
2434
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@mozartk | 17 December 09 |
sa hi tuko muguka,bangi na muratina.pengine ndio maana hatubongi.zimetusho twilight zone(meditation)
|
||
![]() |
@2smoky | 17 December 09 |
Muratz? wapi? mi huenda hotel accra..
|
||
![]() |
@mozartk | 17 December 09 |
achana na ya jiji.hiyo ni juice.sisi huenda Thika.ya huko ni mwenda,imewekwa madawa ndio ikurunde visirias
|
||
![]() |
@2smoky | 17 December 09 |
Thika, eh? na mnaendaga mkiwa na hawa wengine pia? kwani washa k.o ama wamelala kama watoto wazuri ndio wasidoze class ksho? :)
|
||
![]() |
@mozartk | 17 December 09 |
si raia yote imekam na wenye nko nao wako mandukulu vibaya.kuna mmoja zimemsho ateke huyu matha anatukindia
|
||
![]() |
@2smoky | 17 December 09 |
he he he.. watoto siku hizi!? hebu uwasho wajitokeze kesho wajisemee walikuwa wakifanya nini..?
|
||
![]() |
@mozartk | 17 December 09 |
ntawasho kedo 10 asubuhi,i.e,ka utakuwa onlyn wakupe uhondo.kesho jioni tutakuwa mtaani,ratish bado.siukam tukate ndizo
|
||
![]() |
@2smoky | 17 December 09 |
thika? huko ni mbali sana.. niko tao kesho, labda nxt friday? nitatokea saa nne specifically ndio niwaone hao wengine wakiongea.. kaelephant nd kru, mnaskia?
|
||
![]() |
@mozartk | 17 December 09 |
mtaani ni kahawa west.halafu,mbona umeniita kaelephant:kwani unanitambua
|
||
![]() |
@2smoky | 17 December 09 |
hapana, I wuz refering to gashogoo (kaelephant in kyuk).. 1 of the group membrz.. kwani unaitwa Njogu?
|
||
![]() |
@mozartk | 23 December 09 |
siitwi Njogu.n by the way,sijui Njogu.i was also referin 2 atha group membaz who happen 2b my neibaz tho hawako registad
|
||


