

![]() |
@shacques | October 2009 |
Dirty Mouth. (2) Mdomo yako ni chafu mpaka ukinywa maziwa fresh unatema chai. |
||
![]() |
@shacques | September 2009 |
Phone (3) Phone yako ni mzee hadi imeraruka phonebook. |
||
![]() |
@davinho | August 2009 |
mchongoano (0) buda yako ni mzee hadi akijikuna kwapa ana mwaga unga. |
||
![]() |
@pompi9 | August 2009 |
2chongoane (3) kam na mchongoano moto. |
||

