
![]() |
@ladslaus | |
MICHEZO NI UTAMADUNI,MICHEZO NI FURAHA,MICHEZO INACHANGAMSHA MWILI. TANZANiA KUKUA KTK FANI YEYOTE ILE INAWEZEKANA IWAPO KILA MTU ATAKAA KTK NAFAC YAKE VILIVYO. |
||
6
Replies
2375
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@ladslaus | 25 January 10 |
ww michezo ni utamaduni wa kila mtu ila ktk soka la afrika mashariki sijui kwanini lina boronga?
|
||
![]() |
@mrijomvu | 12 February 10 |
km kunajinamiz la soka bc ni east afrika kwani soka haliko juu km wenzetu wa jirani.
|
||
![]() |
@mrijomvu | 19 July 10 |
KUNAKITU AMBACHO kinatakiwa kuigwa na wanamichezo ,michezo km riadha,nk viko nyuma kias kwamba havipo. Watanzania wengi 2napenda michezo lakini kucheza hatujui. Mchezaji ambaye anasifika kucheza anakuwa na majivuno mpaka bc,NDIO MAANA M m SINA USHABIKI WA TEAM YEYOTE NA NINAMSHANGAA MTZ ANAPENDA TEAM ZA NNje ANGALILI ZAKWAKE ZIKO CHINI.LABDA UTANIJIBU TEAM ZE2 ZINABORONGA,...nikweli.
|
||
![]() |
@ladslaus | 19 July 10 |
Hv ww ni k2 gani kuliufanya.au kilikusukuma mpaka ukaamua kwenya juchimba madini ya tanzanite?. Ila beni kunak2 hujakigundua kuwa maisha hutafutwa popote sio mpaka kwenye machimbo ya tanzanite. Na pia utajiri hautafutwi kwa nguvu km unavyofikiria ww kuna maisha mengi unaweza kuishi sio hayo ya tanzanite 2. Kwanza tanzanite inakufanya uwe MZEE kwa muda mfupi. Plz mdogo wngu rud home then utapa kaz 2
|
||
![]() |
@mrijomvu | 11 October 10 |
uchaguz wa TANZANIA MAONI YANGU.:)RAIS AMBAYE YUKO MADARAKANI HAISTAHILI YEYE KUPIGA KAMPENI KWANI MAZURI ALIYOYAFANYA MIAKA MITANO YATOSHA KABISA WANANCHI KUJUA KWAMBA HUYU ANASTAHILI KUENDELEA AU LAAH. Kwa sababu gharama zinakuwa nyingi ki2 ambacho hizo pesa,zinaweza kufanya kaz nyingine za uchumi. jAMANI WACHENI WAPINZANI
|
||
![]() |
@jamzisho | 30 October 12 |
Nataka madini. nipigie simu 254720097708
|
||


