Prodigits |
! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.
* mrimbeni > Topics
mrimbeni
CHADEMA CHAMA AMBACHO HAKINA UFISAD WOWOTE. Tofauti na chama tawala .chama cha chadema kina viongoz makini ambao wako mstari wa mbele kutetea maslah ya wanyonge. Kauli mbiu ya chama makini CHAMA CHA CHADEMA NI ILINDE RASILIMALI KWA AJILI YA MANUFAA YA BAADAE.. Mta nzania mwenye UFAHAMU MWENYE KUJALI NCHI YAKE, KAMWE HATOACHA KUIPIGIA CHADEMA. Chadema ikiingia madarakani. Itasomesha mtoto wa shule ya awali mpaka 4fm 6 bila ya mwanafunzi kulipa ada chochote .Jamani mwaka huu.2010 tubadilike watAnzania.
3 Replies 1500 Views 0 Bookmarks
topics posts

* mrimbeni Forum
fav Bookmarks

* mrimbeni

Awesome Wallpapers

Download PRODIGITS Android APP