
![]() |
@mrijomvu | |
jamani hapa tanzanza panashangaza ktk upigaji wa kura .mgombea urais anapogombea kweli utamuo ni mwema sana lakini akishapata Urais Hakika wananchi mtalia Mtajuta kwanini tulimpa kura zetu. JAMANI IFIKAPO MWAKA KESHO WATANZANIA TUWE MAKINI. |
||
1
Replies
2042
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@mrimbeni | 3 November 10 |
NAKWELI IMEFIKA MWAKA MWEZ TENA SIKU YALEO. Tar.31mwez 10 year 2010 Uchaguz tumeufanya kwa nia njema haswa vijana kwani mwaka huu vijana waekuwa na mwamko mkubwa sana ktk kila mkoa na wamepiga kweli kura waliomchagua namempata. |
||


