

![]() |
@krity | August 2010 |
USIPIME UWEZO!!! (0) Usipime uwezo, wa kuucheza huu mchezo,huna nyenzo huna vigezo kwenye hii mitelezo,kabla hujapima nishakuzima,nakonga mitima,kwa hizi flow ka mb** zime |
||
![]() |
@shafftan | August 2010 |
Tunapanda! (0) Tupo juu watu wa afrika mashariki kwa hiphop,tanzania wakina prof.j,fid q,roma,na..da wapo kibao sana siwezi wataja wote,vipi huko kenya,uganda,burund |
||
![]() |
@krity | August 2010 |
Karibu kwenye michano! (1) Karibu kwenye michano,ni kijani twende si nyekundu wala njano,onyesha mshikamano,ka santuri na sindano,hiphop halisi wala si mfano,hizi si hadithi wal |
||
![]() |
@preddie | August 2010 |
(reading) Mkusanyiko wa mashai (1) ushairi ni muhimu sana hasa tukizingatia matumizi ya mashairi, umuhimu ambayo tunaweza tu kuukumbatia tukizikusanya |
||

