
![]() |
@preddie | |
ushairi ni muhimu sana hasa tukizingatia matumizi ya mashairi, umuhimu ambayo tunaweza tu kuukumbatia tukizikusanya |
||
1
Replies
1115
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@krity | 19 August 10 |
Ushairi kwenye lugha ya kiswahili ni rahisi kumwezesha mtu kuandika mashairi yenye mtiririko mzuri na vina vya kutosha,wanahiphop wa afrika mashariki tupende kuandika mashairi kwa kiswahili!
|
||


