
![]() |
@missanna | |
Kwa nini mwanamke akimtamkia mwanaume nakupenda watu wanamchukulia vibaya |
||
4
Replies
1182
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@mrmbarak | 10 February 11 |
Hapana sio kwa wote na kwa mwanamke ana njia nyingi za kumpata mwanaume sio mpaka atamke
|
||
![]() |
@doctlove | 24 February 11 |
Kwa mimi mwanamke akinitamkia ananipenda nitafikilia kama ananifaa nitamkubali
|
||
![]() |
@dabullet | 2 March 11 |
Upende wngu dem akinitamkia ctamuona lyk yeye ni kicheche&v2vingine ka hivyo.
|
||
![]() |
@chrissp | 1 May 11 |
mwanamke akikutamkia anakupenda sio wote ambao wakisema nakupenda nikicheche or malaya,'bali ni hic a zilizo mfanya akp
|
||


