
![]() |
@mrmbarak | |
Mwanamke au mwanaume katika mapenzi hawi na mtu mmoja |
||
3
Replies
991
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@missanna | 16 January 11 |
Kwa sababu watu wengi wanapenda pesa na mapenzi ya mekosa uaminifu
|
||
![]() |
@acushla | 19 February 11 |
Mara nyingine inasababishwa na kukosa kujiamini kuwa kweli we ni mzuri wa kutosha na unastahili kupendwa na anaekupenda...hivyo anakosa kuamini kuwa uhusiano utadumu
|
||
![]() |
@chrissp | 1 May 11 |
b coz unakuta mapenzi uliyokuwa unayapata mwanzo yamepungua,'kama unavyojua mapenzi yakwanza yalivyo kwahiyo m2 anaona,.
|
||


