
![]() |
@dabullet | |
Maana 90%ni waongo ktk upande wa kutemavocal/wanawake wengi ndo wanaohitaji kuambiwa uongo? |
||
6
Replies
687
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@mrmbarak | 1 March 11 |
Ni kweli lakini kwa mimi kuongopa siwezi wanawake wa siku hizi wanapenda kuongopewa
|
||
![]() |
@dabullet | 1 March 11 |
Lyv madem ze2 wanapenda xana uongo kuliko ukweli.
|
||
![]() |
@doctlove | 2 March 11 |
Sikilizeni wanawake wa siku hizi bila ya kumuogopea humpati
|
||
![]() |
@missanna | 2 March 11 |
Si kweli na kama ndio mimi nikijua unaniongopea kamwe sitakupenda
|
||
![]() |
@dabullet | 2 March 11 |
Maduzanga wanapenda kukataa wkt washadanganywa xana.
|
||
![]() |
@mbaraka | 21 March 11 |
Ktk huu mchezo uwongo ndo mpango mzna coz ma manz ze2 ukwatel truth uwapat na ukiwapata kiutata sana
|
||


