
![]() |
@thecuter | |
Macho ckuzote ndo tochi yamoyo kupenda, moyo ukipenda huwa hautamani kuacha hata cku moja, sasa unampenda bby wako kupita maelezo then wazazi wanaingilia kati mapenzi yenu ikiwa kigezo nidini! Wanataka mwanaume abadili dini ndipo wataweza kuoana wakati mwanaume hayupo tayari, sasa kunamtafaruku kati yabinti nawazazi, nabinti nampenzi juu yaswala hilo, je ww ungefanyaje km ingekutokea hy!? |
||
12
Replies
1274
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@thecuter | 27 December 11 |
Mwanamke anafata ushauri wawazazi wake xna, imekuwa ugomvi kati yenu kila mkilizungumzia hl..! Vp unamaamuzi gan ww?
|
||
![]() |
@ladykeys | 28 December 11 |
hata ktk vitabu vya dini wanasisitiza unapotafta mchumba kigezo cha kwnz ni dini sasa iweje ukatafte mke aso dini yako?
|
||
![]() |
@ladykeys | 28 December 11 |
hata ukisema umuoe cdhan km iyo ndoa itakua na baraka za wazazi
|
||
![]() |
@thecuter | 28 December 11 |
ila mwanzo wamapenzi yenu alikuahidi kuwa atabadilisha dini ili mwuishi pamoja, sa mna miaka km miwili hv thn yanatokea
|
||
![]() |
@classyk5 | 12 January 12 |
Swal ni je kama mwanamke yupo tayar we mwanaume unashndwa nn kua tayar kuchange din kama kwel unampenda baby wako?
|
||
![]() |
@thecuter | 12 January 12 |
c rahisi m nikabadili wakat najua unanipenda, nakama unanipenda utakuwa tayari kunifata kokote niendako,chochote nikifanyacho, xo inakuwaje ufanye vyote ushindwe kubadili dini? Mwanamke hana dini bhana cku zote!
|
||
![]() |
@classyk5 | 12 January 12 |
Hahaha bdo unamawazo ya kale, mwanamke ana din sawa na mwanamke so kama unampenda utachange! ushaonesha unataka kutumia udhaifu wake wa kukupenda w
|
||
![]() |
@classyk5 | 12 January 12 |
Sasa ndo ukute mwanamke ameshastuka kua ana din wazaz kikwazo change ww il mpunguze migogoro cz unaweza kumkosa
|
||
![]() |
@thecuter | 12 January 12 |
C kwmb naangalia udhaifu wake bali hata kwny vitabu vyadini vimeandika kuwa mwanamke atawaacha wazaz wake nakuambatana na mumewe, asa iwaje ung'ang'anie dini yakwenu wakati ukishaolewa huuuyo kwamumeo..!
|
||
![]() |
@thecuter | 12 January 12 |
Kwahy kwakuwa wazaz wake wamegoma ndo m nibadili? Naje nikabadili thn 2kaenda kwe2 wakaligomea hl naw utabadili?
|
||
![]() |
@classyk5 | 12 January 12 |
Sasa umeprove mwenyewe kua hata wazaz wako wanaweza kukugomea so wote mpo sawa, kama vp mjisacrifice hasa ww mwanaume
|
||
![]() |
@thecuter | 12 January 12 |
Hahaha, w km ukibadili thn ukaja hm mambo shwari! nibora w utengwe nawazaz kulikoni mm, maisha yandoa yatakuwa mabovu
|
||


