Prodigits |
! You are not logged in to Prodigits. Please register or login.
* FRIENDLYCLUB > Topics
thecuter
Jane alikuwa nimwanafunzi wachuo, wakati akiwa anasoma hapo chuo alijikuta akimpenda kijana wadarasa tofauti naalilokuwa akisoma, moyo ulianza kupenda taratibu kadri cku zilivyokuwa zikienda, marakwamara jane alimwona kijana aitwaye james akiwa namarafiki zake wakati wabreak, kwenye tea breakfast naalikuwa akimtazama japokuwa james hakujua hilo. Miezi ikasogea baadaye ndoto ya jane ilifanikiwa kumnasa james nawakafungua ukrasa wamapenzi moto moto, likizo jane alimkaribisha mpenzi wake kwao naakamtambulisha kwamama kuwa alikuwa rafiki yake, baadaya kumaliza chuo james aliendelezwa kimasomo kwakuchukuliwa nakaka yake aishiye ng'ambo nakwenda kumsomesha, mapenzi hayo hayakuisha kwn walikuwa wakiwasiliana kwanjia yacm marakwamara japokuwa ilimuumiza xna jane kuwa mbali nampenzh wake hy, miezi minane ikapita jane aliibia cm akawa kapoteza namba zajames nahawakuwasiliana tena, hapo mtaani kunakijana alionyesha nia yakumuoa jane akaenda kuongea nawazaz wake namambo yakawa sawa japokuwa jane hakumpenda xna, cku yacku jane alikolea kimapenzi kiac ambacho kilimfanya amsahau james, alivalishwa pete baada km miezi sita kupita ikiwa nimwaka namiezi kadhaa tangu james aende kusoma, kijana aliyemchumbia jane sasa anatangaza ndoa, jane anajiandaa kwenda kazini anaambiwa nje kunamgeni wake anamuulizia, anatoka nakumkuta nijames amerudi kutoka masomoni, james yupo tayari kuendeleza penzi lao wakat jane tayari kashachumbiwa, je achukue uamuzi gani ikiwa james ndiyokijana aliyempenda kupita maelezo lakin anamchumba kwamda huu?
4 Replies 681 Views 0 Bookmarks
topics posts

* FRIENDLYCLUB Forum
fav Bookmarks

* FRIENDLYCLUB


Download PRODIGITS Android APP