
![]() |
@water60 | |
hebu basi kila mtu atupie komedi hapa ila isiwe na lugha ya kuudhi wengne |
||
1
Replies
615
Views
1 Bookmarks
|
![]() |
@water60 | 13 April 14 |
cku moja madenge alikuwa na njaa,akaanza kusali hv..Mungu ukinijalia,kuokota buku mbil naapa buku ntaitoa sadaka,.Kufka mbele kdg akaokota buku eti dah!.Mungu noma yani ameshakata chake juu kwa juu...
|
||


