
![]() |
@uswazitz | |
Tutafanikiwa kuikuza lugha yetu ya kiswahili mtandaoni? |
||
8
Replies
2917
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@lslg | 13 February 08 |
Ndiyo tunaweza tukiamua kwani hata ndg zetu wa nje wanapenda kujifunza
|
||
![]() |
@1rama | 3 July 08 |
Mmh! Kiasi kinakua lkn 2nakiharibu wenyewe na swnglish zetu, eti mtu anasema Ntakucal baadae why? kwanini?
|
||
![]() |
@atilio | 27 October 08 |
kukuza lugha ya kiswahili kwenye mtandao ni kama mbuzi kumfungia pembe za ng'ombe. sababu kiswahili siyo lugha ya kibiashara...hakuna taifa lolote kubwa linalo saidia kiswahili..wazungu wanaotumia kisw. ni kwenye upande wa burudani tu. km vile watalii...lkn si kwenye masoko yao au electronics wanazozitengeneza.
|
||
![]() |
@maynah | 8 November 08 |
Kama mkenya kikubwa nacho kiona nikwamba sirahisi kikue kwetu twajivunia sheng' sijui mjivunie swamglish
|
||
![]() |
@majjma | 2 June 09 |
mambizenu mm naona kiswahili kukua kwake ni kugumu mno ukiangalia hatawatanzania wenyewe wanatukuza lugha za kigeni mfano mtu akionekana hajui english anakosa hata heshima na kuonekana mbumbumbu kabisa kwahiyo inatubidi na sisi wenyewe tujue kama tunastahili kurekebisha mambo yote.
|
||
![]() |
@tom8 | 12 June 11 |
Minaona 22dumishe lugha ye2 mbona ipo fresh2
|
||
![]() |
@colombia | 26 December 11 |
Me naona kiswahili kinakua ila lugha yetu tunaiharibu wenyewe pale mtu anaposema HAKUNAGA tunamaanisha nn kwa mtu anayejifunza lugha yetu hii adhimu? TUWE MAKINI.
|
||
![]() |
@zein16 | 15 April 12 |
NDUGU ZANGU WA TZ NA WAPA PONGEZI SANA KWA KISWAHILI CHENU SAFI SANA HONGERA
|
||


