
![]() |
@mamalisa | |
Kila upande umebaki kulaumu upande mwingne luwa siku hz hakuna mapenzi ya kweli. Tatizo liko wapi? Je ktna wasichana au wavulana ambao wana mapenz4 ya dhati? |
||
2
Replies
1500
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@chimamy | 10 December 13 |
HABARI ZENU HUMUNimevutiwa na group hili.nachangia wazo.Tatizo ni kutokuwa waaminifu.mke muongo mume nae muongo hapo hatapatikana upendo wa dhat.Asanten
|
||
![]() |
@chimamy | 11 December 13 |
Wivu usio na maana nao huchangia kuleta mfarakano.yaani kutoaminiana ndani ya mahusiano pia huleta mfarakano
|
||


