![]() |

kweli maisha kitendawili
![]() |
5/5 | ![]() |
![]() |
mrijomvu | |
mimi nilijua kwamba ukitoka kwa wazaz hakuna shida tena.laa kumbe nilikuwa najidanganya, kwani nilikuwa naona km wazazi walikuwa wananibana. Lakini sasa nimeona kwamba kumbe kuna umuhimu wa wazazi.
|
||
770
Views
0
Favourites
0
Comments
34
KB
|
Comments
