![]() |

wALIOKO NDANI YA NDOA HUTAMANI KUTOKA NA WALIO NNJE YA NDOA HUTAMANI KUINGIA KTK NDOA
![]() |
3/5 | ![]() |
![]() |
mrijomvu | |
VIJANA WENGI HUTAMANI SANA NGONO NA NDIO MAANA 2NAISHIA KUWAPA WALE 2LIOKUA 2NAFANYA NAO NGONO MIMBA AMBAZO HAZIKUTARAJIWA .Masumbufu huja pale kijana wa pande zote mbili kugundua kuwa walikuwa wanafanya ngono na sio kwamba walikuwa wanapendenda.Kuna tatizo jingine la wavulana ambalo hatutazami. Nikule kumuona msichana haumjui anatoka wap ni wa mji gani? Ni wa ukoo gani? Ana matatizo gani. Kweli sisi vijana 2nachotaza kwa mwanamke ni ile sura na kifua 2. lait ile sura yake ndio ingekua ndo tabia yake.
|
||
1045
Views
0
Favourites
0
Comments
36
KB
|
Comments
