![]() |

HUYU NDIE BENEDICT JOSEPH GEORGE MVUNGI,
![]() |
1/1 | ![]() |
![]() |
mrimbeni | |
ni kijana ambae ukikutana nae hutoacha kumtazama ana mengi mazuri. Tena ni kijana mmoja msiri sanaa .jamani sijui kwanini anafikra za kuona mbali .japo ktk life style yake ki2 ambacho anasema hatakisahau ni kazi moja aliyoifanya ktk machimbo ya tanzanite. Ni story moja ndefu sana ambayo kwa kawaida siyo ya kukumbuka. Ila inambid akumbuke kwani akiangalia amebaki km mpweke kwakuwa MARAFIKI ZAKE WOTE WALIKUFA KWA MAJI YALIYOTOKANA NA MAAFRIKO MWAKA 2008 MWEZ 4 TAR. 23. Hapa ninamnukuu.MIMI SITOSAHAU SIKU AMBAYO NILIPONA KAMA VLE ILIKUWA NI MIUJIZA KWANI KIPINDI HICHO NDO MADINI YALIKUWA YANATO. Na nilikuwa nimesha uza km tsh. 190000. Siku ya kwanza ni siku ya IJUMAA JIONI. Sitaisahau siku hii.
|
||
510
Views
0
Favourites
0
Comments
28
KB
|
Comments
