
hivi maendeleo yataletwa kwa mdomo tu au kwa kufanya kazi?
mbona kuna watu maalum wamewekwa kuhakikisha mtu hapati maendeleo?
1
kitu gani kinachofanya bei iwe juu wakati wapimaji wanalipwa kila mwezi?
1
kwa kufanyia njama na hujuma na kuhakikisha hata akisema haaminiwi.wanathubutu kumwaga milioni kadhaa.....?
0
je waweza kwenda mahamani kwa watu walio kulia njama tena wakitumia lugha za alama?
0
je unadhani sheria ya ardhi inamsaidia mtu wa kawaida kwa bei ya milioni moja na nusu kwa kiwanja kidogo?
0
au nondo na sakafu kiduchu ndiyo inayofanya bei ipae na kuwa milioni moja na nusu?
0
lengo la serikali wananchi wake kakaa maeneo yaliyopimwa yatafikiwa ikiwa mtumishi wa serikali tu hawezi kununua kiwanja
0
je huoni wanaojenga maeneo yasiyopimwa wako halali kwa kuwa wao ni watanzania?
0
au kukosa uwezo wa kununua kiwanja ni sababu tosha ya kukosa uraia je niende wapi na hii ni nchi yangu asilia?
0
kwa nini bei isiwekwe kulingana na uwezo halisi wa mtanzania au waweke bei ziwe na matabaka kati ya matajiri na maskini?
0

![]() |
1/1 | ![]() |
Comments
