
NINI MAANA YA MPENZI?....JE KUMWAMBIA NAKUPENDA INATOSHA? .....JE NANI ANAYEYAFAHAMU MAPENZI?... .KWANINI INAFIKIA HATUA YA KUSEMA SITAKI KUPENDA TENA! ...........KWANINI NDOA HAZIDUMU JE KWASABABU WAPENZI WAESHAZOENA MPAKA KUMUONA MWENZI HAFAI KWA SASA?.
mimi naitwa Ladslaus ninaishi Longoi Ngosero,Moshi Wilaya ya hai mkoa wa KILIMANJARO
0
mapenzi matamu kwa yule anaye yajua machungu pale mmoja wapo anapomwacha mwenzie. ktk suala la Mapenzi mtu hulazimi kuondoa uhai wake.
0

![]() |
3/3 | ![]() |
Comments
